TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Pili wa Utalii wa Vyakula wa Shirika la Utalii Duniani Kanda ya Afrika ...
MAREKANI imeongeza maradufu idadi ya wafungwa wanaodhaniwa kuwa tishio kubwa pamoja na wale wanaosubiri kurejeshwa makao ...
JAMII katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara hususani wanaume wanaoishi na wanawake wenye fani mbalimbali ikiwemo ...
LINDI: CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Ipilinga Panya amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutoa kauli ya ...
KIGODA cha Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) kimezinduliwa katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), ...
SERIKALI ya Burundi imekanusha taarifa zinazodai kuwa inawaondoa wanajeshi wake kutoka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ...
WAASI wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameonekana kuelekea mji wa Butembo, Mashariki mwa DR Congo ambapo mapigano ...
KLABU ya kuogelea ya HPT imeshika nafasi ya 36 ikijizolea pointi 360 baada ya wachezaji wake kujitahidi kufanya vizuri katika ...
SERIKALI ya Burundi imekanusha kuwaondoa wanajeshi wake DRC ambapo wamekuwa wakisaidia jeshi la Congo kukabiliana na waasi wa ...
VIONGOZI wa Marekani na Urusi wamekutana mjini Riyadh na kukubaliana kuanzisha mchakato wa amani nchini Ukraine ...
“VIJANA wasiseme siasa haiwahusu, wajue kila mmoja siasa inamuhusu hata kama hujihusishi nayo.” Ndivyo anavyosema Ofisa Mradi ...
Wajasiriamali pamoja na wakazi wa kata ya Ugweno, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro wameshiriki mafunzo ya elimu ...