Wakati ‘Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (Neto)’ ukidai kuna vitendo vya upendeleo na rushwa katika usaili wa nafasi za ajira ...
Alianza aliyekuwa kocha mkuu, Sead Ramovic, kisha akafuata kocha wa makipa Alaa Meskini, kiasi cha kuanza kuzua maswali, Yanga kunani?
Kipa wa Simba, Moussa Camara ‘Spider’ ameendelea kuthibitisha thamani yake tangu aliposajiliwa na Wekundu wa Msimbazi hao, ...
Yanga inapaa leo kwenda Kigoma ikiwafuata wanajeshi wa Mashujaa, lakini kocha wa timu hiyo, Hamdi Miloud amewajaza upepo ...
Leo, Februari 21, 2025, umetimia mwezi mmoja tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kifanye uchaguzi mkuu wenye ...
Serikali imeanzisha kampeni maalumu kwa ajili ya kudhibiti vitendo vya utapeli na ulaghai mitandaoni ambavyo husabanisha hasara kwa watu binafsi na Taifa kwa ujumla na kurudisha nyuma ...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni (DC) mkoani Tanga, Albert Msando ameliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na watendaji wa kata kuwatafuta wanafunzi 356 wa kidato cha kwanza wa shule za ...
Wenyeviti 142 wa Serikali ya mitaa Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam wameingia makubaliano na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Dawasa) ikiwamo sharti uhakika wa maji kwa saa 24 ...
Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS), imeanzisha Mfumo Jumuishi wa Kielektroniki (ISQMT) utakaondoa urasimu katika huduma hizo.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro (RC), Adam Malima amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kwenye maeneo yanayopakana na vivutio vya ...
Uamuzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) uliotoa agizo kwa Tanzania kufuta adhabu ya kifo ...
Uwepo wa lishe shuleni ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuchochea kupanda kwa taaaluma katika shule za msingi na sekondari zilizoko Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza.