Majaliwa amesema wakuu hao wana jukumu la kusimamia maeneo yao kuhakikisha kampeni hiyo inaondoa changamoto za migogoro ...
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, katika kipindi cha mwaka 2024/25 imewezesha ujenzi wa mifumo mitano ya Kitaifa ...
Benki ya Dunia (WB) imeipatia Zanzibar Dola za Marekani 100 milioni (Sh260 bilioni) kuimarisha miundombinu ya sekta ya afya ...
Ukiachilia mbali Hamisa Mobetto kuwa mwanamitindo, mjasiriamali na muhamasishaji, amepitia mambo mengi tangu alipoanza safari ...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imekiri kuwepo kwa changamoto nyingi zinazowakabili watumishi wa kada ya ununuzi katika kutekeleza majukumu yao, ikiwemo kukosekana kwa kanzidata yao.
Dar e Salaam. Wakati mikoa ya Ruvuma na Njombe ikitarajiwa kupata mvua mkubwa ndani ya saa 24 zijazo, hali ya joto itaendelea ...
Hakimu Swallo, baada ya kusikiliza hoja za pande zote, amekubaliana na hoja ya upande wa utetezi na kuamuru tarehe ijayo ya ...
Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (Pura), ambayo ni taasisi chini ya Wizara ya Nishati, imepanga kuendesha ...
Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, kwa kushirikiana na Shirika la Six Rivers Africa, imeanzisha mpango maalum wa kukabiliana na ...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameitaka Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) itilie mkazo ...
Kulingana na hati ya kiapo, Nyakahemba anaeleza kuwa mwaka 2007 aliajiriwa kama muuguzi daraja la pili na wakati anaajiriwa, alitakiwa kuwa na elimu ya darasa la saba, pamoja na sifa zingine, ...
Unguja. Changamoto ya wananchi wanaoishi katika visiwa vidogo kuzifikia huduma za afya Zanzibar, huenda ikapata mwarobaini ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results